Mtanzania Rosa Ree kwenye mstari mmoja na Dj Khaled na Rick Ross



Rosaree ni mmoja kati ya Rappers wa kike kwenye BongoFleva chini ya label ya THE INDUSTRY inayomilikiwa na NavyKenzo ambapo ngoma yake kwenye mawimbi sasa hivi inaitwa ‘One time‘.

Habari kubwa ya Rosa Ree time hii ni kupewa balozi wa kinywaji cha Belaire akiwa Mtanzania wa kwanza kuwa balozi wa kinywaji hicho cha Ufaransa ambacho kimeenea sehemu mbalimbali duniani kama Marekani ambako Rick Ross na Dj Khaled ni Mabalozi wake pia.

No comments:

Post a Comment