WANANCHI WASUSIA MAANDAMANO YA CHADEMA SENGEREMA

Wananchi wa wilaya ya Sengerema wasusia maandamano ya chadema.Hali hiyo imetokea tarehe 27/04/2024  baada ya mahudhulio kuwa madogo kuliko matarajio ya viongozi wa chadema.