GARI LA KAMPUNI YA MWANZA COACH LAPATA AJALI

                         Baadhi ya abiria walionusirika na ajali.

                     Upande wa mbela wa gari
                                    Baadhi ya abilia wakijitahidi kuokoa abiria wengine.

   Hapa baada ya kuacha barabara na kupalamia gema lililokuwa kando ya barabara.

                      Majeruhi akisaidiwa na abiria wenzake na baadhi ya raia kuwekwa eneo salama.
   Hapa ndipo gari lilipo ingia na chanzo cha ajali ni itirafu ya usukani na kumshinda dereva na kuacha barabara.

No comments:

Post a Comment