AFRICAN BEAUTY HAIR DRESSING SALOON

African beauty hair dressing saloon ni saloon mpya na ya kisasa kabisa iliyopo sengerema barabara iendayo GEITA karibu kabisa na daraja kubwa linalotiririsha maji katika mashine za kukoboa mchele ukiwa unakwenda GEITA ipo mkono wa kushoto na ukiwa unatoka GEITA ipo mkono wa kulia.
  Ukifika katika saloon hiyo hautajutia pesa yako kwani ina wahudumu waliobobea katika mambo ya saloon.









 Hivi ni baadhi ya vifaa vya kisasa kabisa ambavyovinapatikana katika saloon hii

   Wanauza pia mawingi ya aina mbalimbali kwa bei nafuu kabisa,lakini pia wanauza     mikoba ya aina mbalimbali.
                                    Kuna viatu vya aina mbalimbali vinauzwa pia.

 Lakini pia African beauty hair dressing saloon wanatafuta balozi wao wa kike ambae anategemewa kupatikana katika mashindano ya Miss African beauty hair dressing saloon  ambayo yatafanyika mwanzoni mwa mwezi wa pili kwa habari zaidi kuhusu mashindano hayo wasiliana na mkurugenzi wa African beauty hair dressing saloon namba  0759 37 80 28.

No comments:

Post a Comment