PICHA HII RECHO AKIWA KATIKA MATANGAZO MASHABIKI WALIZUIA GARI LA MATANGAZO.
RECHO AKITOA BURUDANI
SHABIKI AKICHEZA NA MREMBO RECHO
DJ GEORGE AKIWAPAGAWISHA MASHABIKI
MASHABIKI BAADA YA KUSHINDWA KUVUMILIA WALILIVAMIA JUKWAA.
HAMISI KUTOKA KUNDI LA W.S.SMART AKIJIACHIA NA MREMBO
SHABIKI ALIEITWA NA RECHO JUKWAANI
DJ ABAS KUSHOTO KATIKATI RECHO KULIA KING KIBA.
TUNAWASHUKURU SANA MASHABIKI WALIOJITOKEZA KWA WINGI MUNGU AWAJALIE SANA.

No comments:
Post a Comment