Bwana harusi manase john msiswa akiwa na mke wake kipenzi.
Manase akiwa na mkewe wakifurahia jambo katika bustani nzuri kabisa.
Baadhi ya vijana wanaounda umoja wa vijana wishio na wasioishi sengerema madamu wamezaliwa sengerema (KWETU SENGEREMA GROUP). wakicheza mziki na maharusi.
Manase na mkewe wakijipiga picha ya pamoja katika hotel ya gold stone.
Dj emma toka ms system akisimami vyombo kwa umakini mkubwa kabisa.
Baaddhi ya vijana kutoka KWETU SENGEREMA GROUP wakiwawakilisha wenzao ambao hawakuwepo katika kutoa zawadi waliyokuwa wameianda kwajili ya kumpa support manase kwani ni sehemu ya member wa umoja huo, waliweza kutoa kiasi cha laki tatu na ishirini na mbili elfu(Tsh.322000/:).
Wageni walikwa wakifurhia mziki wa pamoja.
Mwenyekiti wa umoja wa KWETU SENGEREMA GROUP akitoa shukrani n nasaha kwa maharusi lakini hakuwa peke yake alindamana na wajumbe wa umoja huo, kutoka kushoto ni EMMAUEL MASOSO,akifatiwa na ALEX NTUNGI, alieshika maiki ni mwenyekiti HASSAN KUKU,anaefatia nia WILLY BUHILYA, akifatiwa na PETER MHIKWA. anaefata ni FRANCE SHIDUKI na ANICETH MOSHA ambae hajaonekana katika picha ili ni miongoni mwa wajumbe wa umoja huo waliokuwa mbele.
Bwana harusi Manase akiwa na msindikizaje wake Veda akipeana mkono na bwana France shiduki katika kanisa la KKKT sengerema mjini kipindi cha kufunga ndoa.
Bwana harusi akikata keki.
Bwana harusi na Biharusi wakikata utepe.
France mkono wa kushoto biharusi katikati na bwana harusi mwisho katika picha ya pamoja.
Familia ya kwao bibi harusi wkifatilia matukio yanayoendelea hapo viwanjani.
Familia ya kwao bwana harusi wakifatilia tukio mhimu kabisa la kijana wao,kutoka mkono wa kulia ni baba mzazi wa manase mzee John msiswa na anaefata ni mama mzazi wa manase.
Emmanuel masoso kushoto akifatiwa na Alex ntungi,akifatiwa na Aniceth mosha,akifatiwa na Hassan kuku,akifatiwa na Willy buhilya na Peter mhikwa Wakiwawakilisha wenzao kutoka KWETU SENGEREMA GROUP ambao hawakuhudhulia harusi ya Mr manase katika kutoa zawadi mbayo ilichangwa na umoja huo kiasi cha Tsh.322000/:.





































No comments:
Post a Comment