HALMASHAURI YA WILAYA YA SENGEREMA YAPATA MSIBA BAADA YA KUONDOKEWA NA MHASIBU WAKE NDUGU MISANANA.

      Halmashauri ya wilaya ya sengerema yapata pigo baada ya kufiwa na mhasibu wa halmashauri hiyo ndugu MISANANA
     Ndugu misanana alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya MARALIA, TYPHODE,KIFUA NA PRESHA, hali iliyowalazimu ndugu wampeleke katika hospital ya mission sengerema kwajili ya kupata matibabu lakini hali haikuwa nzuri hali iliyofanya kupewa rufaa kwenda kupata matibabu katika hospital ya rufaa BUGANDO mwanza.
    Baada ya madaktari kujitahidi kadri ya uwezo wao ilishindika na munamo alfaji ya tarehe 06/08/2016 aliweza kuaga dunia akiwa katika hospital hiyo ya bugando mwanza.Taratibu za kusafirisha mwili wa marehemu zikafanyika na kuurudisha sengerema kwajili ya mzishi.
    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina
Tunapenda kutoa pole kwa ndugu,jamaa na marafiki na familia nzima ya marehemu misanana.

No comments:

Post a Comment