Hassan Kuku
Pages - Menu
Home
Videos
News
Filamu
Lyrics (Mashairi)
Promotion
Facebook
TWITTER
HULKSHARE/DOWNLOAD
The Magazine
TAZAMA PICHA MKUU WA WILAYA YA SENGEREMA AKIFANYA USAFI KATIKA DAMPO LILILOPO STENDI KUU YA MABASI SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 27/08/2016.
Kila jumamosi ya kila mwisho wa mwezi wilaya ya sengerema imejiwekea utaratibu wa wananchi kufanya usafi katika maeneo yao ya makazi na biashara hivyo kulazimu wafanya biashara kufunga biashara zao kwa mdawa masaa matatu na kufanya usafi katika maeneo yao. Hapa mkuu wa wilaya ya sengerema akifanya usafi katika baadhi ya maeneo ya stendi akiwa amejumuika na watumishi wa halmashauri ya sengerema na wananchi ambao wamekuwa wakitikia zoezi la usafi la kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.Katika usafi huo alikuwepo pia mwenyekiti wa halmashauri ya sengerema mh.YANGA MAKAGA.
Mkuu wa wilaya ya sengerema alievaa kofia nyeupe na track ya blue akitoa uchafu katika dampo.
Mwenyekiti wa halmashauri ya sengerema mh YANGA MAKAGA alieva jezi ya njano na track nyeusi akipakia uchafu katika trekta.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment