Mh WILLIAM MGANGA NGELEJA ambae ndie mbunge wa jimbo la sengerema fanya mkutano katika jimbo lake na hiyo ni katika muendelezo wa mikutano yake mbao kianza tangu mwezi wa saba katika kuzungukia kila kata katika kata 26 ambazo zipo katika jimbo la sengerema.
Lengo la mikutano hiyo ni kutaka kufatilia utekelezaji wa miladi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa katika jimbo lake ukiwemo mladi mkubwa kabisa wa maji ambao unaendele kutekelezwa na wakandarasi kutoka china ambao upo katika hali ya mwisho kabisa kukamilika.
Lakini pia alikuwa katika kutkeleza agizo la mheshimiwa Rais la uchangiaji wa madawati ambapo yeye kama mbunge katoa kiasi cha shilingi milioni arobaini(40 milioni).
Na hapa kafanya mkutano katika kata ya nyampulunkano ambayo inaongozwa na Diwani wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.
Diwani wa kata ya nyampulunkano Mh. EMMANUEL MUNWANIZI (CHADEMA). Akiwahutubia wananchi waliojitokeza katika mkutano wa mbunge ambao ulikuwa na viongozi wa serikali kutoka idara zote za serikali. kwajili ya kujibu maswali ya wananchi.
Kutoka kushoto ni kaimu mwanasheria wa serikali, akifatiwa na mwenyekiti wa serikali y mtaa wa migombani mama NEEMA,anaefata ni mh,NGELEJA,anaefata ni katibu wa ccm wiliaya na mwisho ni katibu wa vijana ccm wilaya na nyuma ni watumishi wa Idara mbalimbali.
Wananchi wakifatilia mkutano kwa umakini kabisa.
Kapalo akiwa na Mussa miti wakiwa katika gari la matangazo.
Mh. WILLIAM MGANGA NGELEJA akiwahutubia wananchi.
Diwani EMMANUEL MUNWANIZI akiwahutubia wananchi.
























No comments:
Post a Comment