Leo ndio siku ya mwisho kwa safari ya mpendwa wetu GODFREY MAKOYE aliepumzishwa katika makaburi ya kikristo MISSION sengerema na mungu ampumzishe kwa amani amina.
Watu mbalimbali wakiaga mwili wa marehumu nyumbani kwao ibisabageni
Mwili wa marehemu GODFREY MAKOYE ukiwekwa kabulini.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiweka udongo kaburini tayari kwa kuufukia.



















No comments:
Post a Comment