ALBUM (DVD) Itazinduliwa Tarehe 31/07/2016, kuanzia saa 8:00 mchana katika viwanja vya kanisa la ROMAN CATHORIC(RC) sengerema mjini
VIINGILIO NI KAMA IFUATAVYO.
Watoto Tsh.500/:
Wakubwa Tsh.1000/:
WAZEE na WALEMAVU NI BUREE.
Lakini pia uzinduzi huo utapambwa na waimbaji wa kwaya mbalimbali kutoka sengerema, nje ya sengerema na nje ya chi.
WAIMBAJI WATAKAOKUWEPO NI,
PEACE MULU----- KUTOKA KENYA.
TUMSIFU LUFUTU---- KUTOKA DAR.
BETTY LUCAS--------KUTOKA MWANZA.
REBECA PIUS---------KUTOKA MWANZA.
ELLY BAND ----------KUTOKA GEITA.
DODOLA BAND -----KUTOKA BUSISI.
Kwaya zote kutoka sengerema watashiriki katika uzinduzi huo nyote munakaribishwa.

No comments:
Post a Comment