HIVI NDIVYO KILIVYO HAPPEN SIKU YA PARTY FAMILY YA MS SYSTEM NA MS DJZ ILIKUWA TAREHE 15/07/2016 KATIKA UKUMBI WA MAYENGELA.

Kama haukupata nafasi ya kuhudhulia party ya Ms system an Ms djz iliyo hudhuliwa na mgeni rasmi ambae pia ni mbunge wa jimbo la sengerema Mh. WILLIAM  MGANGA  NGELEJA. ambae alishow love la kiutuzima na wadau waliohudhulia party hilo.

























                               Mkurugrnzi wa Witness saloon wa kulia mwenye kigauni cheusi akiwa na mdogo wake.





































                                 Wageni wakipata chakula.






                                  Mgeni rasmi akikata utepe.


















                                                    Dj george akijiachia na warembo.

           Kamati ya sherehe katika picha na mh Ngeleja.


                               Mkurugenzi wa Eagle entertainment akitoa nasaha kwa wageni walikwa hasa vijana(Hassan kuku).

                              Mgeni rasmi akitoa zawadi ya tisheti kwa mama mwarabu.



                           Wasafi wakiwaburudisha wageni walikwa ilibamba kinoma.


                                                    Ngeleja akijiachia na watu wake katika mziki wa pamoja.
             Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na mkurugenzi wa Eagle entertainmen wa kushoto akifatiwa na makamu mwenyekiti wa kwanza kulia ni mwakilishi wa ms djz bwana manase john akifatiwa na mzee masoso.







                                      Mgeni rasmi katika picha na wadau.
              TEAM ya  Ms djz wakitambulishwa na dj Roggerz.
             Mh. Ngeleja akiteta jambo na makamu mwenyekiti wa halmashauri ya sengerema.



                        wageni mbalimbali wakijiachia huku wakifatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea ukumbini.
                   Emmanuel kutoka ms system akisoma historia fupi ya kampuni ya ms system.
             Mgeni rasmi wa katikati,kushoto kwake akiwa na makamu mwenyekiti wa halmashauri ya sengerema na kulia ni mkurugenzi wa ms system.Na hapo mbele ni kreti za bia ambazo zilitolewa na mgeni rasmi kwajili wa waliohudhulia kuburudika taratibu na hizo kreti ni baadhi tu ambazo zilitoka kwajili ya kuzikabidhi.
                The boss lady wa kwanza kusho akifatiwa na kauzu kutoka wasafi akifatiwa na Naima aliepiga kigauni cheusi kilichomtoa bomba  wakijiandaa kufungua shampen.


                                      Ma sister du wa mjini wakifatilia moja ya tukio lililokuwa likiendelea ukumbini.




                           Ma brothermen wa mjini wakifatilia matukio huku wakipiga vinywaji vyao.
                                 Masister du wakiwa wanaburudika na kinywaji kwa mbali.
                Mshindi wa mashindano ya kuimba kwa mwaka 2015 alieva kipensi cheusi mkono wa kulia akijiachia na mashabiki zake.
                                       Michael kutoka MEDIA EXPERTZ akijiachia na wadau wenzake.

No comments:

Post a Comment