Ripoti kutokea 88.1 Mwanza muda huu ni hii ya Mbunge wa zamani Ezekia Wenje jimbo la Nyamagana na Mbunge wa sasa Stanslaus Mabula kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015, naambiwa kesi imesimamishwa kuanzia saa 6 mpaka 8, Mahakama itaendele kusikiliza mashahidi kwa upande wa Wenje, ripota wa millardayo.com kazipata picha za mwanzo.
Mawakili kazini kesi ya Wenje na Mabula
Ezekia Wenje ndani ya Mahakama
Naambiwa Jeshi la Polisi halikuwa mbali kwenye usalama
Mbunge wa Nyamagana Staslaus Mabula akisubiri kesi ianze
Mfuasi wa Chadema akisaidiwa baada ya kusukumana
Mh Mbowe na Wenje kwenye mapumziko ya masaa mawili
Mwenyekiti Mbowe na Wakili Mtalemwa wakili wa Mabula
Mbowe alikuwepo Mahakamani
Wafuasi wa Chadema hawakuwa mbali na Mahakama
Wenje akisubiri kutoa ushahidi
No comments:
Post a Comment