Hapa nimekusogezea picha 12 kujionea tukio zima lilivyokuwa wakati wa uzinduzi..
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akikata utepe
Dc Makonda na baadhi ya washiriki wakifurahi baada ya kukata utepe
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akifungua kitambaa kwenye jiwe la uzinduzi
DC Paul Makonda akiongea na waandishi wa habari
.
Picha ya muonekano wa jengo litakavyokuwa baada ya kujengwa
Jiwe la uzinduzi mara baada ya kukatwa kwa utepe
.
Huu ndio muonekato katika muundo wa 3D namna jengo la upasuaji litakavyokuwa
No comments:
Post a Comment