Unapokuwa ukijiuliza wapi unapaswa kwenda kupunguza stress siku ya PASAKA hakuna sehemu nyingine ni MAYENGELA kwani kutakuwa na burudani ya pekee kutoka kwa ma DJ wetu ambao watakuwa wakishindana na kupata DJ mkali kwa mwaka 2016 katika wilaya ya sengerema. Na DJ atakaepata nafasi ya kushinda atapata na fasi ya kwenda kusoma katika chuo cha ma DJ kilichopo mwanza kinachoitwa MKUBALI MWENZIO DJ ACADEMY ambao ndiowadhamini wetu wakubwa, lakinipia kutakuwa na burudani kibao kutoka kwa wasanii na makundi mbalimbali ya ku DANCE.
DJ JEY.
DJ GEORGETZ
DJ MACK
DJ DULLAH
DJ ABAS
DJ SHIMMY D
DJ IMMA
WADHAMINI WETU NI
1.mkubali mwenzio dj academy.
2.african beauty hair dressing saloon
3.witness saloon.








No comments:
Post a Comment