Sehemu ya waumini wa dini ya kiislam waliohudhuria hafla hiyo ya ufunguzi wa IJITIMAI, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakati akiondoka
baada ya kufungua rasmi IJITIMAI hiyo katika msikiti wa Jabalhira, mjini
Morogoro. Picha na OMR
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment