Sehemu ya waumini wa dini ya kiislam waliohudhuria hafla hiyo ya ufunguzi wa IJITIMAI, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakati akiondoka  baada ya kufungua rasmi IJITIMAI hiyo katika msikiti wa Jabalhira, mjini  Morogoro. Picha na OMR 
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment