Mtaalam wa kutoa damu kutoka
Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Peter Chami (kushoto) akimtoa damu mmoja
kati ya wafanyakazi wa Benki ya Exim, ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya
Uchangiaji Damu Duniani inayofanyika kila mwaka ifikapo Juni 14.
Meneja Masoko Msaidizi wa
Benki ya Exim Bi Anita Goshashy (Kushoto) akichukuliwa vipimo kabla ya
kuchangia damu. Benki hiyo inaendesha kampeni ya kuchangia damu kila
mwaka katika maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu Duniani
inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo Juni 14.
Wafanyakazi wa Benki ya Exim
katika picha ya pamoja wakati wa kampeni ya uchangiaji damu inayofanywa
na Benki hiyo kila mwaka ili kuadhimisha Siku ya Uchangiaji Damu Duniani
inayofanyika kila ifikapo Juni 14
No comments:
Post a Comment