MAADHIMISHO YA MIAKA( 50) YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR YALIYOFANYIKIA KIMKOA KATIKA WILAYA YA SENGEREMA NA KUHUZULIWA NA MGENI RASMI MKUU WA MKOA WA MWANZA BWANA EVARIST NDIKILO ALIEWAKILISHWA NA MKUU WA WILAYA YA ILEMELA BI, AMINA MASENSA. LAKINI PIA MAADHIMISHO HAYA YAMEHUDHULIWA NA WATUMISHI WA TASISI MBALIMBALI NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WA HAPA SENGEREMA NA MADIWANI WOTE WA SENGERMA.
VIJANA WAKIWA WAMEJIPANGA KWAJILI YA MAANDAMANO.
ASKARI MGAMBO WAKIWA TAYALI KWA MAANDAMANO.
ENEO LA MAKUTANO YA BARABARA ZIENDAZO, KAMANGA,BUSISI,GEITA NA BENKI YA NMB SENGEREMA.
KIKUNDI CHA BENDI KIKIONGOZA MAANDAMANO.
VIJANA WA BODABODA WA HAPA SENGEREMA WAKIANDAMANA KUELEKEA VIWANJA VYA SENGEREMA SHULE YA MSINGI.
UMATI WA WAANDAMANAJI WAKIELEKEA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI SENGEREMA WATU WALIKUWA WENGI KWELI KAMA MUNAVYOONA.
ASKARI POLISI WAKIONGOZA MAANDAMANO.
MGENI RASMI AKIPOKEA MAANDAMANO NA HAPA AKIVISHWA SKAFU NA SKAUTI
VIJANA WA SKAUTI WAKIMPIGIA SALUTI MGENI RASMI BI, AMINA MASENSA ALIEMUWAKILISHA MKUU WA MKOA WA MWANZA.
VIJANA WA SKAUTI WAKIMUONGOZA MGENI RASMI KUMPELEKA SEHEMU ALIOANDALIWA KWA KUKAA.
BI, AMINA MASENSA AKISOMA HOTUBA YAKE ILIYOJIELEKEZA KUBAINISHA MAFANIKIO YALIYOPATIKA KATIKA MIAKA (50) YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
WATUMISHI WA AFYA WAKIWA WAMEBEBA BANGO LA MUUNGANO.
WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA WAKIWA KATIKA BANDA LAO LA MAONYESHO WAKIELEZEA HUDUMA ZAO.
WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB WAKIWA KATIKA BANDA LAO WAKIONYESHA BIDHAA ZAO NA KUELEZEA HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA BENKI HIYO.WA KWANZA KUSHOTO NI MHASIBU WA NMB SENGEREMA NA WA TATU KUTOKA KUSHOTO NI MENEJA WA BENKI YA NMB SENGEREMA NA WENGINE NI WAFANYAKAZI WA BENKI HIYO.
MHASIBU WA NMB SENGEREMA WA KWANZA KUSHOTO AKIWA NA WAFANYAKAZI WENZAKE WA NMB SENGEREMA.
WATUMISHI WA IDALA MBALI MBALI WAKIWA WAMEPUMZIKA KATIKA SEHEMU YAO.
WATU WENYE ULEMAVU NI SEHEMU YA WAGENI WALIOALIKWA.
KIKUNDI CHA SAI MAMI KIKIJIANDAA KUTUMBUIZA.
VIJANA WA SKAUTI WAKIPANDA MTINI KWAJILI YA KUONYESHA NI JINSI GANI WANAVYOWEZA KUPITA JUU YA KAMBA KAMA KUNA MTO,AU DARAJA LINAPOKUWA LIMEKATIKA.
MGENI RASMI AKIFATILIA KWA MAKINI AKITAZAMA JINSI VIJANA WA SKAUTI WANAVYOPITA KATIKA KAMBA.
OCD WA WILAYA YA SENGEREMA AKIWA NA MGENI RASMI WAKITAZAMA VIJANA WA SKAUTI WAKIVUNJA MATOFALI KWA KUTUMIA KARETI.
MATOFALI YAKIWA TAYALI YAMEVUNJWA.
MGENI RASMI AKIFATILIA BURUDANI KUTOKA KATIKA VIKUNDI MBALIMBALI VILIVYOALIKWA.
WAGENI KUTOKA WILAYA MBALIMBALI WAKIFATILIA BURUDANI.
WAJASILIAMALI MBALIMBALI WAKIWA KATIKA MABANDA YAO WAKIONYESHA BIDHAA WANAZOTENGENEZA HAPA SENGEREMA NA HIVYO NI VIATU WALIVYOTENGENEZA WAO.
MKUU WA KITUO CHA POLISI SENGEREMA AKIWA NA KIJANA WAKE WAKIHAKIKISHA USALAMA UNAPATIKANA MDA WOTE WA SHEREHE ZA MUUNGANO.
DJ ROGGERZ AKISIMAMIA SHUGHULI NZIMA.
MC BWANA MABULA AKIENDESHA SHEREHE.
MWALIMU CHAMIKA AKIWA NA KIKUNDI CHAKE CHA MAWAWA AKITUMBUIZA.
MGENI RASMI NA WAGENI MBALIMBALI WAKITOA ZAWADI KWA MWALIMU CHAMIKA NA KIKUNDI CHAKE CHA MAWAWA.
KAIMU MKUU WA GEREZA LA KASUNGAMILE AKIJITAMBULISHA.
DIWANI WA KATA YA NYAMPULUNKANO KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA (CHADEMA) MH,MUNWANIS.
DIWANI WA KATA YA IBISABAGENI MZEE JUMANNE MASUNGA.
KAIMU MSHAURI WA MGAMBO SENGEREMA.
DIWANI WA VITI MAALUMU WA CHADEMA.
KAIMU MKURUGENZI WA HALIMASHAURI YA WILAYA YA SENGEREMA.
MEYA WA HALIMASHAURI YA WILAYA YA ILEMELA BWANA MATATA.
| KIJANA AKIWA KASHIKA NJIWA WAWILI AKIMANISHA SERIKALI MBILI YATOSHA. |
HII NI NDEGE INAYENDESHWA NA COMPUTER ALIYOTENGENEZA KIJANA MMOJA KUTOKA CHUO CHA UFUNDI FDC.
MAJENGO YA HALIMASHAURI YA SENGEREMA.
WAGENI MBALIMBALI WAKIPATA CHAKULA BAADA YA KUTOKA KATIKA SHERERHE YA MADHIMISHO YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment