VIJANA WAKIWA WAMEJIPANGA KWAJILI YA MAANDAMANO.
KIKUNDI CHA BENDI KIKIONGOZA MAANDAMANO.
VIJANA WA BODABODA WA HAPA SENGEREMA WAKIANDAMANA KUELEKEA VIWANJA VYA SENGEREMA SHULE YA MSINGI.
UMATI WA WAANDAMANAJI WAKIELEKEA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI SENGEREMA WATU WALIKUWA WENGI KWELI KAMA MUNAVYOONA.
ASKARI POLISI WAKIONGOZA MAANDAMANO.
MGENI RASMI AKIPOKEA MAANDAMANO NA HAPA AKIVISHWA SKAFU NA SKAUTI
VIJANA WA SKAUTI WAKIMPIGIA SALUTI MGENI RASMI BI, AMINA MASENSA ALIEMUWAKILISHA MKUU WA MKOA WA MWANZA.
WATUMISHI WA AFYA WAKIWA WAMEBEBA BANGO LA MUUNGANO.
WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB WAKIWA KATIKA BANDA LAO WAKIONYESHA BIDHAA ZAO NA KUELEZEA HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA BENKI HIYO.WA KWANZA KUSHOTO NI MHASIBU WA NMB SENGEREMA NA WA TATU KUTOKA KUSHOTO NI MENEJA WA BENKI YA NMB SENGEREMA NA WENGINE NI WAFANYAKAZI WA BENKI HIYO.
MHASIBU WA NMB SENGEREMA WA KWANZA KUSHOTO AKIWA NA WAFANYAKAZI WENZAKE WA NMB SENGEREMA.
WATUMISHI WA IDALA MBALI MBALI WAKIWA WAMEPUMZIKA KATIKA SEHEMU YAO.
WATU WENYE ULEMAVU NI SEHEMU YA WAGENI WALIOALIKWA.
KIKUNDI CHA SAI MAMI KIKIJIANDAA KUTUMBUIZA.
MGENI RASMI AKIFATILIA KWA MAKINI AKITAZAMA JINSI VIJANA WA SKAUTI WANAVYOPITA KATIKA KAMBA.
OCD WA WILAYA YA SENGEREMA AKIWA NA MGENI RASMI WAKITAZAMA VIJANA WA SKAUTI WAKIVUNJA MATOFALI KWA KUTUMIA KARETI.
WAGENI KUTOKA WILAYA MBALIMBALI WAKIFATILIA BURUDANI.
WAJASILIAMALI MBALIMBALI WAKIWA KATIKA MABANDA YAO WAKIONYESHA BIDHAA WANAZOTENGENEZA HAPA SENGEREMA NA HIVYO NI VIATU WALIVYOTENGENEZA WAO.
DJ ROGGERZ AKISIMAMIA SHUGHULI NZIMA.
MC BWANA MABULA AKIENDESHA SHEREHE.
KAIMU MKUU WA GEREZA LA KASUNGAMILE AKIJITAMBULISHA.
DIWANI WA KATA YA NYAMPULUNKANO KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA (CHADEMA) MH,MUNWANIS.
KAIMU MSHAURI WA MGAMBO SENGEREMA.
DIWANI WA VITI MAALUMU WA CHADEMA.
KAIMU MKURUGENZI WA HALIMASHAURI YA WILAYA YA SENGEREMA.
MEYA WA HALIMASHAURI YA WILAYA YA ILEMELA BWANA MATATA.
| KIJANA AKIWA KASHIKA NJIWA WAWILI AKIMANISHA SERIKALI MBILI YATOSHA. |
HII NI NDEGE INAYENDESHWA NA COMPUTER ALIYOTENGENEZA KIJANA MMOJA KUTOKA CHUO CHA UFUNDI FDC.
MAJENGO YA HALIMASHAURI YA SENGEREMA.
WAGENI MBALIMBALI WAKIPATA CHAKULA BAADA YA KUTOKA KATIKA SHERERHE YA MADHIMISHO YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment