MREMBO MISS SENGEREMA NA MATATIZO MBALIMBALI KWA MAMISS.


MASHINDANO YA KUMTAFUTA MREMBO MISS SENGEREMA YAMEFANYIKA TAREHE 03/O5/2014 KATIKA UKUMBI WA MAYENGELA NAKUHUDHULIWA NA MASHABIKI WAKUTOSHA LAKINI KATIKA HALI AMBAYO ILIKUWA SIO NZURI NIKWAMBA   BAADHI YA WASHIRIKI WALIINGIA MITINI NA KUBAKI MA MISS WATATU TU AMBAO NDIO WALIOSHINDANIA TAJI HILO.NA HAKUNA MAELEZO YA KINA KUTOKA BUHILYA VIDEO PRODUCTIO AMBAO NDIO WANDAAJI WA MASHINDANO HAYO.

MC WA KIKE AMBAE PIA NI...
MKE WA DJ MAARUFU HAPA DJ ROGGERZ KUTOKA  MS SYSTEM.

                             KUNDI LA WASAFI WAKIWABURUDISHA MASHABIKI.
                        BAADHI YA MASHABIKI WALIOJITOKEZA KATIKA HAFRA HIZO.

                                                   MASHABIKI WAKIFATILIA BURUDANI.


                         BAADHI YA MAJAJI WA SHINDANO HILO.


                   MC WA KIUME DJ SHIMMY D AKIWA NA MADADA WALIOHUSIKA KUWAPAMBA WAREMBO.

                                       WAREMBO WAKIWA JUKWWANI.



                                      HAPA WAKIONYESHA VAZI LA UBUNIFU.





                      WAKIWA KATIKA VAZI LA USIKU.

                                                          MSANII T.I.D AKIPAGAWISHA MASHABIKI.
                   JAJI MKUU AMBAE PIA NI AFISA UTAMADUNI MSAIDIZI AKISOMA WASHINDI.









                               ALIEKAA KATIKATI NDIE MSHINDI WA KWANZA, PRISCA, ANAEFATA KUSHOTO NI MSHINDI WA PILI DOTTO NA WATATU KULIA NDIE ALIESHIKA NAFASI YA TATU.




                                  MUANDAAJI  MR.WILLY BUHILYA.

                        



                          MSHINDI WETU NI PRISCA NA KWA BAHATI NZURI MUNGU KAMJALIA KUPATA MTOTO MMOJA.
          MWANDAAJI ANAPENDA KUTOA SHUKRANI ZA DHATI KWA MASHABIKI WOTE WALIOJITOKEZA NA PIA KWA WADHAMINI WAKE.

No comments:

Post a Comment