Gari ya acha njia na kupalamia watu waliokuwa pembeni mwa barabara na kuua mmoja na kujeruhi wengine sita. SENGEREMA mwanza.

                    Gari ilikuwa ikitokea barabara ya kutoka geita kuingia mjini
                     Hapa askari polisi akiwaonyesha mashuhuda galasi walioikuta ndani ya gari
                     Juu ya gari kunaonekana glasi iliyokutwa ndani ya gari
        Hapa upande wa mbele baada ya gari kugonga na kupalamia ukuta wa kiganga guest house

              Marehemu kapatikana kwa jina moja la john alikuwa akijishughulisha na kupiga debe stendi     ya    sengerema mjini

                 Tunaomba radhi kwa picha hizi marehemu akiwa kavunjika miguu yote miwili
                     Mwili wa marehemu ukifunikwa na wasamalia wema

                      Mwili wa marehemu ukiwa umefunikwa
                   Askari polisi wakiwatawanya raia kwajili ya kuuchukua mwili wa marehemu
                 Eneo ilipotokea ajari ni kiganga guest house iliyopo sengerema mwanza
                      Gari ya polisi magereza ikisogezwa kuchukua mwili wa marehemu JOHN    
                      Hapa mwili wa marehemu ukipakiwa katika gari ya polisi. Kwaniaba ya kampuni ya EAGLE ENTERTAINMENT tunapenda kutoa pole kwa familia ya marehemu na mungu ailaze roho ya marehemu mahari pema peponi amina.

No comments:

Post a Comment