Hapa askari polisi akiwaonyesha mashuhuda galasi walioikuta ndani ya gari
Juu ya gari kunaonekana glasi iliyokutwa ndani ya gari
Hapa upande wa mbele baada ya gari kugonga na kupalamia ukuta wa kiganga guest house
Marehemu kapatikana kwa jina moja la john alikuwa akijishughulisha na kupiga debe stendi ya sengerema mjini
Tunaomba radhi kwa picha hizi marehemu akiwa kavunjika miguu yote miwili
Mwili wa marehemu ukifunikwa na wasamalia wema
Mwili wa marehemu ukiwa umefunikwa
Askari polisi wakiwatawanya raia kwajili ya kuuchukua mwili wa marehemu
Eneo ilipotokea ajari ni kiganga guest house iliyopo sengerema mwanza
Gari ya polisi magereza ikisogezwa kuchukua mwili wa marehemu JOHN
Hapa mwili wa marehemu ukipakiwa katika gari ya polisi. Kwaniaba ya kampuni ya EAGLE ENTERTAINMENT tunapenda kutoa pole kwa familia ya marehemu na mungu ailaze roho ya marehemu mahari pema peponi amina.
No comments:
Post a Comment