Say nag Akiwa Jukwaani Akipagawisha mashabiki Waliofulika Ukumbini Kumtazama Wakiona Kiuno Swafi cha Mwana dada SAYNAG
Madensa Wakiwaburudisha Mashabiki Waliofulika kushudia show ya SAYNAG
Ma MC DJ ABASS na DJ SHIMI D wakisherehesha show ya SAY NAG
Shabiki akifurahia show ya SAY NAG.
Mtangazaji wa ABM RADIO FM 91.2 DODOMA
Dj Mack akiwa Rusha mashabiki.
Walembo wazidiwa na utamu wa show ya SAY NANG
Mashabiki wengine wa futa baada ya kuzidiwa na urabu.
No comments:
Post a Comment