Mwana dada Say nag anatarajia kufanya onyesho Sengerema Siku ya pasaka

Kwa wakazi Wa Sengerema Kama kawaida ya Mwana dada Say nag kutoa Burudani  kwa mashabiki wake atakwenda kushusha Bonge la burudani pande za Sengerema katika Ukumbi Wa Mayengela kw Kiingilio cha TSH.5000/= Kuanzia mida ya Saa 2:00 Usiku Mpaka choka.Show litapigwa chini ya Udhamini Mkubwa kabisa wa, ADIDAS CLASSIC SALOON, DJ MACK HOME MUSIC, SALANG'ANYA CABLE na RKPS SOUND. Usikoseeeeeeeee.


No comments:

Post a Comment