Mwanadada Say nag afunika Sengerema Siku ya Pasaka Tarehe 31/03/2013


Say nag Akiwa Jukwaani  Akipagawisha mashabiki  Waliofulika Ukumbini Kumtazama Wakiona Kiuno Swafi cha Mwana dada SAYNAG

Madensa Wakiwaburudisha Mashabiki Waliofulika kushudia show ya SAYNAG


Ma MC DJ ABASS na DJ SHIMI D wakisherehesha show ya SAY NAG

Shabiki akifurahia show ya SAY NAG.

Mtangazaji wa ABM RADIO FM 91.2 DODOMA
  Dj Mack akiwa Rusha mashabiki.

Walembo wazidiwa na utamu wa show ya SAY NANG
 Mashabiki wengine wa futa baada ya kuzidiwa na urabu.

No comments:

Post a Comment