TAZAMA PICHA KILIVYO HAPPEN GOLD STONE KATIKA SIKU YA KUZALIWA YA MHASIBU WA RICH HILL NA GOLD STONE MDADA KULWA.

Ni sherehe iliyokusanya mabrother men na ma sister du wa sengerema na maeneo mengine kutoka nje ya sengerema walioalikwa katika sherehe hiyo iliyofanyika tarehe 21/07/2017 katika hotel ya kisasa kabisa katika mji wa sengerema GOLD STONE.

       Tumia mda wako kutazama picha hizi kwa kila kilichoendelea.

                       Mrembo mmoja aliefahamika kwa jina moja tu la COLLETA akijiachia.

                   Brother men BRAYAN akiwa na mrembo ambae ndie aliekuwa akifanyiwa sherehe ya kuzaliwa, ( KULWA).

                                       Meneja wa GOLDSTONE ERICK akijiachia.

                   COLLETA,MAMA MWARABU KATIKATI  wakiwa na mtoto alie zaliwa upya.
                               MC WILLY BUHILYA AKIENDELEA KUSHEREHESHA.
                      


                            KULWA akijiandaa kukata keki na kuwalisha wageni aliowalika.



























                                                 DJ JAY kutoka ms system.



                                                  HARISON akiwa kakolea kichwaji.
                                        Madada waliopendeza vizuri wakicheza muziki.







                                                Wageni wakipata chakula safi kabisa.

Kampuni ya EAGLE ENTERTAINMENT inatoa pongezi kwa mdada alie zawliwa upya KULWA  na kwa wageni wote waliojitokeza kumpa suupot.

3 comments:

  1. Inapendeza sana kwa ushirikiano aliyo upata katika Happy birthday yake.
    MUNGU akupe maisha marefu na yenye baraka telee. KULWA

    ReplyDelete
  2. Wow ilikuwa amazing sana na happy birthday wishes ziende kwake

    ReplyDelete
  3. Wow ilikuwa amazing sana na happy birthday wishes ziende kwake

    ReplyDelete