Mambo yalikuwa hivi katika BIRTHDAY party ya NASMA SEIF ilifanyika katika hotel ya goldstone tarehe 23/07/2017.

    Sherehe ya NASMA ilifanyika katika hotel ya GOLDSTONE na kuhudhuliwa na watu wengi walionyesha upendo kwa NASMA.Lakini hali haikuwa nzuri kwani mwana dada NASMA baada ya uongozi wa hotel  kuikatisha sherehe hiyo kwa kuwambia wangeni waliohudhulia  kuwa mda wa wao kuwa pale umekwisha hali iliyoleta sintofahamu kati ya wageni na mwenyeshere na kusababis ha mc kuwatangazia wageni walikwa kuwa inabidi wahamie katika hotel ya MONIQEU kwajili ya kuendelea na sherehe hivyo watu walitii na kuondoka pale Goldstone wakiwa na hasira na kutoa lugha kali kwa uongozi wa hotel hiyo,chanza cha kufanya hivyo hakijulikani ukizingatia siku moja kabla ya sherehe ya nasma kulikuwa na sherehe ya mshasibu wa hotel hiyo.
                                      Mc dada JENNY akionyesha manjonjo yake.



                                 NASMA akiwa na rafiki zake waliokuja kumsapoti.
                                                                   Dj roggerz.
                                                                 NASMA.






















                                                      NASMA akiwa kashika kindoo cha zawadi.





                                          King brayan katika ubora  wake akitoa zawadi.








                                                        AUZEBIA katika pozi la uhakika.



                                               Rafa akiwa katika pozi tata.











                              NAIMA  akimsaidia  NASMA kuwasha mishumaa.
                                 NAIMA akiwa kabeba keki.














  TUNATO PONGEZI KWA KUFANIKISHA SHEREHE LAKINI PIA TUNA MPA POLE NASMA KWA MATATIZO YALIYOTOKEA.

No comments:

Post a Comment