Kwa wakazi wa sengerema na miji ya jirani kaa tayari kwa uzinduzi wa ALBUM YA UZURI WAKO toka kwa mwana dada NEEMA MBOZI utakaofanyika tarehe 17/04/2017 siku ya pasaka katika ukumbi wa SENGEREMA SEKONDARI, tamasha litanza kuanzia muda wa saa 8:00 mchana mpaka saa 12:00 jioni kwa kiingilio cha Tsh. 2000/: kwa wakubwa na Tsh.1000/: kwa watoto. ULINZI NI UHAKIKA WEWE NA FAMILIA YAKO.
No comments:
Post a Comment