W.S.SMART wakipiga show la ukweli.
Suma munazaleti akiwa na kundi la F.B.I.
Kundi la W.S.SMART wakiwa katika picha ya pamoja.
Mashabiki wakijiachia.
Dogo D akiwasha moto kwa mashabiki.
Abuu mkali akitoa burudani.
George adolfu kushoto akiwa na fredy swaga katikati na mshikaji wao.
Mo music na Suma munazaleti katika picha ya pamoja.
Mo music akiwapa burudani mashabiki.
Suma munazaleti akiwarusha mashabiki.
Dj jay akiwarusha mashabiki.
Mkurugenzi wa Eagle Entertainment Hassan kuku akiongea jambo.
Majaji wakitangaza amtokeo.
Msimamizi wa wajukuu inc bwana Joff akionyesha cheti.
Msanii LIL YEGO aliekuwa mshindi wa pili akionyesha cheti chake.
Mandama soldier walioshinda nafasi ya tatu wakichukua cheti.
Wajukuu inc waliovalia mashati ya vitenge wakiwa na mashabiki zao baada ya kutangazwa washindi wa kwanza.
Msaniii wa kundi la W.S.SMART hamis akionyesha cheti baada ya kutangazwa washindi wa kwanza kwa mwaka 2016.
Msanii wa kundi la WAI WAPI CREW akipokea cheti baada ya kutangazwa washindi wa pili
Msanii wa kundi la F.B.I akipokea cheti baada ya kutangazwa washindi wa tatu.
Meneja wa w.s.smart akionyesha cheti.
Muwakilishi wa WAJUKUU INC akipokea zawadi ya Tsh.500000/: laki tano.
Wajukuu inc wakiwa na viongozi wao wakiwa na cheti na mpunga wao katika picha ya pamoja
Meneja wa kundi la w.s.smart akipokea zawadi ya Tsh.1000000/: milioni moja.
B.twise.
Mgunda lusato.
Mdada mrembo akionyesha furaha yake.
W.S.SMART.
W.S.SMART.
F.B.I.
LIL YEGO.
Shabiki aliepatikiana kwa jina la TUSOGA akifatilia show akiwa V.I.P.
Ma brothermen wakiwa wamejiachia V.I.P wa kwanza kulia ni dj abass.
Wajukuu inc wakiwasha moto.
Ma sister du wakiwa wamejiachia V.I.P. wkijiachia na castle lite.
Mkurugenzi wa Eagle Entertainment akifanya jambo fulani.
Dj roggerz kutoka ms system.
Msanii Man cyto ambae pia alikuwa mshiriki katika fainali.
Wadau wa burudani wakifatilia show.
Mandama soldier wakiwapagawisha mashabiki.
B.twise mshiriki akiwapagawisha mashabiki.
RENNY.COM.
Choda chopa ambae aliwahi kuwa mshiriki wa mashindano haya ya vipaji akiwapa burudani mashabiki.
Hezron aka RON akifurahia show.
RON na RENNY.COM.
Ezekiel akiwa kaiwakilisha kampuni ya MEDIA EXPERTZ.
Baunsa akiwa anaimalisha ulinzi kwa mashabiki na mgeni rasmi wakiwa V.I.P.
Dj emmy sosi kutoka ms system.
Baunsa akilinda steji.
Dj shimm D. akiendesha show.
Mgeni rasmi mr bushaija akimwakilisha mkuu wa wilaya ya sengerema.
Dj abass kulia hassan kuku katikati na msafiri jongo ambae pia alikuwa mc wa show nzima.
Kundi la DANCE MASHINE likiwa back stage.
Kundi la f.b.i wakiwa back stage.
Kundi la w.s.smart wakiwa back stage.
Kundi la wapi wapi crew wakiwa back stage.
Mandama soldier wakiwa na wasanii wengine back stage.
DJ abass.
Mc wa show msafiri jongo akiwa na dj abass kulia.
AUZEBIA wa kwanza kushoto na kitopu cheupe akiwa kajiachia V.I.P.
Muwakilishi wa mgeni rasmi ambae ni mkuu wa wilaya ya sengerema mr Bushaija akiwa na msaidizi wake afisa wa vizazi na vifo wa kwanza kulia.
Majaji.
Muwakilishi wa mgeni rasmi ambae alikuwa mkuu wa wilaya ya sengerema mr bushaija
Muwakilishi wa ms system ambae pia ni mtoto wa mzee masoso REVINA akifatilia show upande wa V.I.P.
WASHINDI MAKUNDI YA KUCHEZA.
1.W.S.SMART.
2.WAPI WAPI CREW.
3.F.B.I.
4.DANCE MASHINE.
WASHINDI WASANII WA KUIMBA.
1.WAJUKUU INC.
2.LIL YEGO.
3.MANDAMA SOLDIER.
4.B.TWISE.
5.MAN CYTO.
No comments:
Post a Comment