TUKIWA MITAANI KUZUNGUMZA NA WADAU MBALI MBALI KUJUA WAMEJIPANGA VIPI NA FAINALI YA KUTAFUTA VIPAJI VYA KUIMBA NA KUCHEZA KWA WILAYA YA SENGEREMA KWA MWAKA 2016 KATIKA VIWANJA VYA ST.CAROL.HII ILIKUWA NI SIKU YA JUMAPILI YA TAREHE 23/10/2016.





          Tupo na madada flani hivi mitaa ya kilabela tukiongea nao kuhusu walivyojiandaa na show.



             Tukizungumza na mdada huyu anaitwa Diana alivyojianda kufika St.carol.

                             Deo mabomba akiongelea fainali alivyojiandaa.




              Tukiwa mitaa flani hivi munadani tukiongea na wadau mbalimbali wa burudani.
                                          Tukakutana na msvyake.anii mmoja pande hizo akaona atupe vionjo
                                                                        MOZ akichati na wadau.
              Dj jay akiweka mambo poa katika matangazo yetu.


                                          Dj shimmy D akichonga na mashabiki wa mziki.
                                   Dj abass akichonga na madogo kuhusu show.
                                 Shimmy D akipata juice ya miwa baridii.
                                    Mpiga picha wetu kauzu nae hakuwa nyuma katika kinywaji na kujichukua picha.







                                  Tupo eneo flani la stendi ya mwembe yanga tukiongea na masela
                                         Hapa tukiongea na jamaa ambae anatengeneza juice ya miwa.


                                    Choda chopa akiwatoa burudani stendi ya mwembe yanga.




                                          Hapa tukiwa na jamaa mmoja anaitwa baiser katika salon yake.




               Tupo katika duka la nguo za kiume classic linapatikana katika jengo la sengerema guest barabara ya geita road.




               Hapa tukiwa tunapiga story na wazee  wetu ambao tulikutana nao katia eneo lao wakipata pombe ya kienyeji katika ubora wao.

        Mkurugenzi wa Eagle Entertainment akifurahia jambo katika geti la mdau mmoja wa mziki tuliekwenda kumtembelea kwake.
     Hapa tukizungumza wa wahudumu wa saloon moja Classic katika wilaya ya sengerema ambayo ipo barabara ya busisi road aiktazamana na jengo la telecentre wakiongehuduma wanazozitoa katika saloon yao ya SIMMS.lakini tuliweza kuiongelea show ya tarehe 29/10/2016.








                     Tukiwa  WITNESS SALOON tukiongea na wahusika katika saloon hiyo.
                          Mkurugenzi wa WITNESS saloon akiongea na wadau wa eagle entertainment.


             Tukiwa eneo falani mission katika duka la vifaa vya ujenzi.



         Tukiwa na msanii mmoja anaitwa GADDAFI tukipiga nae story chache kujia kajiandaa vipi na fainali.





                                                   Bado tukiwa witness saloon.
     Tukiongea na dreva katika stendi ya tax za mission mission eneo la mission.




                                    Tukiongea na dreva boda boda wa stendi ya mission.





              Tukiwa eneo la butcher lililopo sengerema mjini ndani ya soko tukiongea na wadau.




   Hapa tukiwa na timu nzima ya na uongozi wa SIMMS saloon.

No comments:

Post a Comment