Tulihitimisha hivi mashindano ya kuimba na kucheza kwa wilaya ya sengerema kwa hatua ya nje na kujiandaa na fainali itakayofanyika katika kiwanja cha shule ya ST.CAROL sengerema.Watoto nao hawakuwa nyuma kuonyesha vipaji vyao.

2 comments:

  1. Tuko pamoja kaka
    Tusubiri fainali tuone mshindi wetu wa wilaya sengerema katika shindano la Kuimba Na Kucheza.
    MUNGU akutangulie katika mandalizi haya

    ReplyDelete
  2. Tuko pamoja kaka
    Tusubiri fainali tuone mshindi wetu wa wilaya sengerema katika shindano la Kuimba Na Kucheza.
    MUNGU akutangulie katika mandalizi haya

    ReplyDelete