Watoto wakionyesha vipaji vyao vya kuimba.
Hapa wakionyesha vipaji vya kucheza.
MAN SITO akitafuta nafasi ya kuingia fainali.
LIL YEGO akitafuta nafasi ya kuingia fainali.
Mkurugenzi wa kampuni ya Eagle Entertainment akiongea jambo.
WAJUKUU INC wakitafuta nafasi ya kuingia fainali.
Deejaygeorge Tz. akionyesha ujuzi wake.
MANDAMA SOLDIER NA B.TWISE waki battle.
Mandama wakitafuta nafasi ya kuingia fainali.
B.TWISE akitafuta nafasi ya kuingia fainali. |
TEAM SINGA wakipigania nafasi ya kuingia fainali katika makundi ya kucheza.
Kauzu akiwa na deejay george Tz.
F.B.I wakitafuta nafasi ya kuingia fainali katika makundi ya kucheza.
WAPI WAPI CREW wakipigania nafasi ya kuingia fainali katika makundi ya kucheza.
W.S.SMART. wakipigania nafasi ya kuingia fainali katika makundi ya kucheza.
KUTAFUTA VIPAJI # hatuchokiiiiiiiii.
No comments:
Post a Comment