Sherehe za uzinduzi wa mfuko wa moyo zilizofanyika katika wilaya ya sengerema 02/03/2016 katika kiwanja cha shule ya udaktari ya COTC, ambapo sherehe hizo zilihudhuliwa na mgeni Rasmi ndugu HAMIS KIGWANGALA ambae ni naibu waziri wa afya.
Sherehe hizi zilianza kwa maandamano yaliyoanzia katika soko kuu la Sengerema.
Burudani mbalimbali zilikuwepo kuwaburudisha wageni na wananchi waliohudhulia sherehe hizo.
Mgeni rasmi Mh, Hamis Kigwangala akiwa kabeba kichanga.
Naibu Waziri Mh, Hamis Kigwangala akiwahutubia wananchi na wageni walikwa.
No comments:
Post a Comment