Picha 15 za mzozo uliotokea baada ya uchaguzi wa Meya wa Dar es salaam kuahirishwa

Leo February 27 2016 ilitangazwa kufanyika kwa uchaguzi wa kumpata Meya wa jiji la Dar es salaam ambao ulipangwa kufanyika Karimjee hall Dar lakini wakati watu wakiwa wamekusanyika tayari kwa uchaguzi huu, mzozo ukazuka baada ya kaimu mkurugenzi wa Jiji kutangaza kuahirishwa kwa uchaguzi huu hadi tarehe nyingine itakapotajwa tena.
Imeelezwa kwamba kesi ya msingi iliyofunguliwa February 2016 na watu ambao hawajatajwa ndio imeifanya Mahakama kuzuia uchaguzi huu wa Meya kwa muda.
AW1A2794
AW1A2795
AW1A2798
AW1A2799
AW1A2805
AW1A2810
Mbunge wa Kibamba (CHADEMA) John Mnyika kwenye maongezi ya simu.
AW1A2822
AW1A2838
AW1A2848
AW1A2854
Mbunge wa Kawe Halima Mdee. (CHADEMA)
AW1A2858
AW1A2859

AW1A2865

AW1A2866

No comments:

Post a Comment