Chege kashindwa kuvunja nazi kwa ugoko? Mwana FA amegundua nini baada ya hitsong ya Asanteni kwa kuja….


Kupitia 255 ya Clouds FM february 29 2016 stori zilizopata airtime ni pamoja na hii ya Chege chigunda kutakiwa kubadilisha a.k.a yake baada ya kushindwa kuvunja nazi kwa ugoko.
Nijiite mvunja yai kwa ugoko hapana si kweli mimi ndio mvunja nazi kwa ugoko na nazi inavunjwa usiku kujiita mvunja nazi kwa ugoko ni kutokana na kazi ngumu tunayofanya ndio imenipelekea mimi kujiita mvunja nazi kwa ugoko‘>>>Chege Chigunda
‘Navunja kweli siumeona yule ambaye tuna mtangangaza sa hizi ambaye amevunja yule ndio anatngaza kundi tuko kama 9 hivi lakini mimi ndio mkubwa wao‘>>>Chege Chigunda12479302_1670464989877851_58736073_n
Stori nyingine amabyo imepata airtime kwenye 255 ni hii ya Mwana FA amekigundua baada ya hitsong yake ya Asanteni kwa kuja. ‘kitu pekee ambacho nimegundua ni kwamba kuna vipaji vingi sana mtaani mimi nimetumiwa clip nyingi sana mpaka za watu wanasoma udaktari  wengine moshi  na ninawaona kabisa jamaa ni ma rapper wazuri lakini tatizo game ya bongo zizani kama wataeleweka‘>>>Mwana FA
12725009_1700671303550921_474385086_n

No comments:

Post a Comment