Staa wa
Manchester United Wayne Rooney na mke wake
Coleen Rooney wameongeza furaha ndani ya familia yao baada ya kupata mtoto wao wa tatu.

Rooney akiwa na mtoto wake Kit Joseph
Wawili hao ambao tayari walikuwa na watoto wawili wa kiume
Kai na
Klay, wamethibitisha kumpata mtoto wao huyo aliyezaliwa jana January 24 2016.
Mtoto huyo wa kiume amepewa jina la
Kit Joseph Rooney.
No comments:
Post a Comment