Mkurugenzi wa uchaguzi katika wilaya ya sengerema bi Marietha roman kasongo katupilia mbali pingamizi lililokuwa limewekwa na Mh. Fransisco kimasa shejamabu lililokuwa likitaka kuondolewa katika uchaguzi mh. tabasam hamis mwagao baada ya kudai hajui kusoma na kuandika lakini pia sio raia wa tanzania na majina ya wadhamini kuandikwa na mtu mmoja. Nimekuwekea hapo fomu ya pingamizi na utetezi wa Mh. tabasam hamis mwagao na mamuzi ya msimamizi wa uchaguzi wilaya ya sengerema.
Safi sana kijana kwa habari...
ReplyDeleteSafi sana kijana kwa habari...
ReplyDelete