
Enock
Bella ni mwimbaji kutoka band ya Yamoto ambapo mama huyo alifariki jana
hospitali wakati akijifungua hukohuko Zanzibar, maziko yamefanyika
Zanzbar pia maeneo ya Ufufuma Chwaka jioni ya May 13 2015.

Enock

Aslay wa Yamoto Band ni miongoni mwa waliokwenda kwenye maziko.
No comments:
Post a Comment