LINAH AFUNGUKA KUHUSU WASANII WA BONGO KUWEKA PICHA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII NA KUPONDWA NA MASHABIKI.
Msanii Linah anasema wasanii wa bongo wakiweka picha kwenye mitandao ya kijamii wanapondwa,picha hiyo hiyo akiweka Rihanna anasifiwa kisha akamalizia kwa kusema Tusupport wa nyumbani. Wewe kama mdau wa burudani unasemaje kuhusu kauli ya linah.
No comments:
Post a Comment