LINAH AFUNGUKA KUHUSU WASANII WA BONGO KUWEKA PICHA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII NA KUPONDWA NA MASHABIKI.
Msanii
Linah anasema wasanii wa bongo wakiweka picha kwenye mitandao ya kijamii
wanapondwa,picha hiyo hiyo akiweka Rihanna anasifiwa kisha akamalizia
kwa kusema Tusupport wa nyumbani.
Wewe kama mdau wa burudani unasemaje kuhusu kauli ya linah.
No comments:
Post a Comment