Pages - Menu
The Magazine
EAGLE ENTERTAINMENT INAKULETEA SHANGWE ZA PASAKA
kwa wale ambao mungu akijalia tukaiona siku hiyo tumebadili taratibu za siku zote.Kwanza kila mtu atakaefika mlangoni lazima ukaguliwe ndio uruhusiwe kuingia ukumbuni, lakini pia hatutaruhusu kinywaji cha chupa kuingia ukumbini.Pia bei zetu zitatofautiana kulingana na mda kwani kuanzia saa 2:00 usiku mpaka saa 5:00 KIINGILIO KITAKUWA Tsh. 6000/: tu na kuanzia saa 5:01 KIINGILIO KITAKUWA Tsh. 8000/: tu. Tunaomba radhi kwa mabadiliko haya kwani lazima yataleta usumbufu kwa wateja wetu lakini ni hali ya kuanza kuboresha show zetu.Tarifa hii imetoka katika uongozi wa EAGLE ENTERTAINMENT.by Hassan kuku Nawashukuruni sana kwa ushirikiano wenu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment