EAGLE ENTERTAINMENT INAKULETEA SHANGWE ZA PASAKA
kwa
wale ambao mungu akijalia tukaiona siku hiyo tumebadili taratibu za
siku zote.Kwanza kila mtu atakaefika mlangoni lazima ukaguliwe ndio
uruhusiwe kuingia ukumbuni, lakini pia hatutaruhusu kinywaji cha chupa
kuingia ukumbini.Pia bei zetu zitatofautiana
kulingana na mda kwani kuanzia saa 2:00 usiku mpaka saa 5:00 KIINGILIO
KITAKUWA Tsh. 6000/: tu na kuanzia saa 5:01 KIINGILIO KITAKUWA Tsh.
8000/: tu. Tunaomba radhi kwa mabadiliko haya kwani lazima yataleta
usumbufu kwa wateja wetu lakini ni hali ya kuanza kuboresha show
zetu.Tarifa hii imetoka katika uongozi wa EAGLE ENTERTAINMENT.by Hassan
kuku Nawashukuruni sana kwa ushirikiano wenu.
No comments:
Post a Comment