Wafanyakazi
wa kampuni ya Tanzania Tobacco Lifes Company TLTC na Tanzania Tobacco
Procesing Company TTPL wakishindana kunywa soda na kula mkate wakati wa
bonanza la siku ya familia iliyofanyika Morogoro..
Wafanyakazi
wa kike wa kampuni ya Tanzania Tobacco Lifes Company TLTC na Tanzania
Tobacco Procesing Company TTPL wakishindana kuvuta kamba wakati wa
bonanza la siku ya familia iliyofanyika wiki iliyopita katika viwanja
vya Magadu
Wafanyakazi
wa kampuni ya Tanzania Lefes Tobacco Company TLTC na Tanzania Tobacco
Procesing Company TTPL wakishindana kukuna nazi wakazi wa bananza la
siku ya familia ya kampmuni hizo yaliyofanyika wiki iliyopita katika
viwanja vya magadu Manispaa ya Morogoro. Manispaa ya Morogoro.
No comments:
Post a Comment