Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania
Ikulu jijini Dar es salaam leo. Walioketi kushoto ni Waziri wa Sheria na
Katiba Dkt Asha Rose Migiro, Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias
Chikawe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Mcheche Masaju
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabirika Mushi na Kaimu Katibu Mkuu
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw. Emmanuel Achayo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifafanua jambo wakati akiongea na viongozi Wa
Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi Wa Chama Cha
Albino Tanzania baad ya kukutana nao pamoja na Waziri wa Sheria na
Katiba Dkt Asha Rose Migiro, Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias
Chikawe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Mcheche Masaju
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabirika Mushi na Kaimu Katibu Mkuu
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw. Emmanuel Achayo Ikulu
jijini Dar es salaam leo. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment