Siku ya jana limefanyika tamasha kubwa visiwani Zanzibar, ambalo limeanza rasmi na baadae litafanyika mikoa mingine.. Hili ni tamasha ambalo linahamasisha nafasi ya kijana kwenye kufanya mabadiliko katika kushiriki Uchaguzi Mkuu na pia kuijua Katiba ya Tz.
Hapa nna PICHAZ toka Zanzibar kwenye Tamasha hilo, Nuh Mziwanda, Shilole, Barnaba, Baby J, Nikki wa Pili, ni baadhi ya wasanii ambao walikuwepo katika uwanja wa Amani Z’bar kwenye Tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment