Siku ya jana limefanyika tamasha kubwa
visiwani Zanzibar, ambalo limeanza rasmi na baadae litafanyika mikoa
mingine.. Hili ni tamasha ambalo linahamasisha nafasi ya kijana kwenye
kufanya mabadiliko katika kushiriki Uchaguzi Mkuu na pia kuijua Katiba
ya Tz.
Hapa nna PICHAZ toka Zanzibar kwenye Tamasha hilo, Nuh Mziwanda, Shilole, Barnaba, Baby J, Nikki wa Pili, ni baadhi ya wasanii ambao walikuwepo katika uwanja wa Amani Z’bar kwenye Tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment