Naibu  Katibu Mkuu Wizara ya Habari, vijana , utamaduni na Michezo Prof.  Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo wakati alipokutana na Balozi wa  Tanzania nchini Nigeria Mhe. Balozi Ole Njoolay kuhusu ushirikiano baina  ya Tanzania na Nigeria katika sekta ya Filamu na Vijana
 Mheshimiwa  Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Balozi Ole Njoolay (kushoto) akiwa  ameshika zawadi ya kinyago aliyopewa na Mheshimiwa Naibu Katibu Mkuu  Prof. Elisante Ole Gabriel Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na  Michezo ili kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Nigeria katika  sekta ya Filamu na Vijana
Mheshimiwa  Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Balozi Ole Njoolay (kushoto) akiwa  ameshika zawadi ya kinyago aliyopewa na Mheshimiwa Naibu Katibu Mkuu  Prof. Elisante Ole Gabriel Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na  Michezo ili kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Nigeria katika  sekta ya Filamu na Vijana Mheshimiwa  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana ,Utamaduni na Michezo wa  Mheshimiwa Prof. Elisante Ole Gabriel wa pili kutoka kulia akiwa katika  picha ya pamoja na Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Mhe.  Balozi Ole Njoolay Viongozi hao waliongea kuhusu kudumisha ushirikiano  katika sekta ya Filamu na Vijana .Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa  Maendeleo ya Vijana James Kajugusi na wa kwanza kushoto ni Katibu  Mtendaji wa Bodi ya Filamu Joyce Fisso Picha na Benjamin Sawe, WHVUM
Mheshimiwa  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana ,Utamaduni na Michezo wa  Mheshimiwa Prof. Elisante Ole Gabriel wa pili kutoka kulia akiwa katika  picha ya pamoja na Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Mhe.  Balozi Ole Njoolay Viongozi hao waliongea kuhusu kudumisha ushirikiano  katika sekta ya Filamu na Vijana .Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa  Maendeleo ya Vijana James Kajugusi na wa kwanza kushoto ni Katibu  Mtendaji wa Bodi ya Filamu Joyce Fisso Picha na Benjamin Sawe, WHVUM 
No comments:
Post a Comment