CHRIS BROWN AWAOMBA MSAMAHA MASHABIKI

Mkali huyu ya rnb amekua na baadhi ya misukosuko katika kazi zake baada ya kesi aliyoipata baada ya kumpiga mpenzi wake wa zamani Rihanna.
Chris amechukua nafasi kwenye page yake ya instagram na kuwaomba msamaha mashabiki zake kwa kuahirisha tour yake iliyopaswa ianze jana jumanne tarehe 27/01/2015 aliyo ipa jina la "between the sheet"imembidi aahirishe kutokana na kukamilisha masaa yake 100 yaliyobaki kati ya 1000 aliyoopewa kama adhabu yake ya kufanya kazi za kijamii.
Kuupitia instagram Chris aliandika
ch

No comments:

Post a Comment