Mkali
huyu ya rnb amekua na baadhi ya misukosuko katika kazi zake baada ya
kesi aliyoipata baada ya kumpiga mpenzi wake wa zamani Rihanna.
Chris
amechukua nafasi kwenye page yake ya instagram na kuwaomba msamaha
mashabiki zake kwa kuahirisha tour yake iliyopaswa ianze jana jumanne
tarehe 27/01/2015 aliyo ipa jina la "between the sheet"imembidi
aahirishe kutokana na kukamilisha masaa yake 100 yaliyobaki kati ya 1000
aliyoopewa kama adhabu yake ya kufanya kazi za kijamii.
Kuupitia instagram Chris aliandika
No comments:
Post a Comment